JIJI LA TANGA LAPEWA BIG UP KWA UKUSANYAJI WA MAPATO, RAS AHIMIZA WATENDAJI KUJITUMA ZAIDI

2 Просмотры
Издатель
Katibu tawala Mkoa wa Tanga Bi. Pili Mnyema amewapongeza madiwani na watendaji wa halmashauri ya jiji la Tanga kwa ukusanyaji mkubwa wa mapato.

Bi Pili pia amewataka watendaji kuwa waaminifu na wabunifu katika kazi zao ili waweze kufikia malengo makubwa zaidi katika kuwaletea mafanikio wananchi wao.
Категория
GreedFall
Комментариев нет.